Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 21 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿وَإِذَا قُرِئَ عَلَيۡهِمُ ٱلۡقُرۡءَانُ لَا يَسۡجُدُونَۤ۩ ﴾
[الانشِقَاق: 21]
﴿وإذا قرئ عليهم القرآن لا يسجدون﴾ [الانشِقَاق: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wana nini wao wanaposomewa Qur’ani hawamsujudii Mwenyezi Mungu wala hawajisalimishi kufuata yaliyokuja ndani yake |