Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 25 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونِۭ ﴾
[الانشِقَاق: 25]
﴿إلا الذين آمنوا وعملوا الصالحات لهم أجر غير ممنون﴾ [الانشِقَاق: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakatekeleza amri waliyofaradhiwa na Mwenyezi Mungu watakuwa na malipo, Siku ya Akhera, yasiyokatika wala kupungua |