×

Malipo yao kwa Mola wao Mlezi ni Bustani za daima, zipitazo mito 98:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Bayyinah ⮕ (98:8) ayat 8 in Swahili

98:8 Surah Al-Bayyinah ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Bayyinah ayat 8 - البَينَة - Page - Juz 30

﴿جَزَآؤُهُمۡ عِندَ رَبِّهِمۡ جَنَّٰتُ عَدۡنٖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُ خَٰلِدِينَ فِيهَآ أَبَدٗاۖ رَّضِيَ ٱللَّهُ عَنۡهُمۡ وَرَضُواْ عَنۡهُۚ ذَٰلِكَ لِمَنۡ خَشِيَ رَبَّهُۥ ﴾
[البَينَة: 8]

Malipo yao kwa Mola wao Mlezi ni Bustani za daima, zipitazo mito kati yake. Wakae humo milele. Mwenyezi Mungu yu radhi nao, na wao waradhi naye. Hayo ni kwa anaye mwogopa Mola wake Mlezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: جزاؤهم عند ربهم جنات عدن تجري من تحتها الأنهار خالدين فيها أبدا, باللغة السواحيلية

﴿جزاؤهم عند ربهم جنات عدن تجري من تحتها الأنهار خالدين فيها أبدا﴾ [البَينَة: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Malipo yao , mbele ya Mola wao Siku ya Kiyama, ni Pepo ya makazi na utulivu yenye upeo wa uzuri, ambayo chini ya majumba yake ya fahari inapita mito; watakaa milele humo. Mwenyezi Mungu Ameridhika nao Akakubali amali zao njema. Na wao wameridhika na Yeye kwa maandalio Aliyowafanyia ya aina mbalimbali za takrima. Malipo mazuri hayo ni ya aliyemuogopa Mweyezi Mungu na akajiepusha na maasia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek