×

Ambao wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wanaitakia ipotoke, na wanaikataa Akhera 11:19 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:19) ayat 19 in Swahili

11:19 Surah Hud ayat 19 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 19 - هُود - Page - Juz 12

﴿ٱلَّذِينَ يَصُدُّونَ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ وَيَبۡغُونَهَا عِوَجٗا وَهُم بِٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ كَٰفِرُونَ ﴾
[هُود: 19]

Ambao wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wanaitakia ipotoke, na wanaikataa Akhera

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الذين يصدون عن سبيل الله ويبغونها عوجا وهم بالآخرة هم كافرون, باللغة السواحيلية

﴿الذين يصدون عن سبيل الله ويبغونها عوجا وهم بالآخرة هم كافرون﴾ [هُود: 19]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hawa madhalimu ni wale ambao wanawazuia watu na njia ya Mwenyezi Mungu yenye kupelekea kumuubudu na wanataka njia hizi ziwe kombo ziambatane na matamanio yao na wao wanaikanusha Akhera, hawaamini kufufuliwa wa kulipwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek