×

Wakasema: Bila shaka umekwisha jua hatuna haki juu ya binti zako, na 11:79 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:79) ayat 79 in Swahili

11:79 Surah Hud ayat 79 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 79 - هُود - Page - Juz 12

﴿قَالُواْ لَقَدۡ عَلِمۡتَ مَا لَنَا فِي بَنَاتِكَ مِنۡ حَقّٖ وَإِنَّكَ لَتَعۡلَمُ مَا نُرِيدُ ﴾
[هُود: 79]

Wakasema: Bila shaka umekwisha jua hatuna haki juu ya binti zako, na unayajua tunayo yataka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا لقد علمت ما لنا في بناتك من حق وإنك لتعلم ما, باللغة السواحيلية

﴿قالوا لقد علمت ما لنا في بناتك من حق وإنك لتعلم ما﴾ [هُود: 79]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakasema watu wa Lūṭ kumwambia yeye, «Umeshajua tangu mbeleni kwamba sisi hatuna haja ya wanawake wala matamanio. Na wewe unajua tulitakalo. Yaani, sisi hatutaki isipokuwa wanaume na hatuna hamu ya kuoa wanawake.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek