Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 106 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿وَمَا يُؤۡمِنُ أَكۡثَرُهُم بِٱللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشۡرِكُونَ ﴾
[يُوسُف: 106]
﴿وما يؤمن أكثرهم بالله إلا وهم مشركون﴾ [يُوسُف: 106]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa wenye kuzipa mgongo dalili za Mwenyezi Mungu hawakubali kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaumba, ni Mwenye kuwapa riziki, ni Muumba wa kila kitu na ni Mstahiki wa kuabudiwa isipokuwa katika hali ya kumshirikisha kwa kuabudu kwao masanamu na mizimu. Mwenyezi Mungu Ametukuka na kuepukana na hilo kabisa |