Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 20 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿وَشَرَوۡهُ بِثَمَنِۭ بَخۡسٖ دَرَٰهِمَ مَعۡدُودَةٖ وَكَانُواْ فِيهِ مِنَ ٱلزَّٰهِدِينَ ﴾
[يُوسُف: 20]
﴿وشروه بثمن بخس دراهم معدودة وكانوا فيه من الزاهدين﴾ [يُوسُف: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ndugu zake wakamuuza kwa wachota maji miongoni mwawasafiri kwa thamani chache ya dirhamu, na wakawa hawana haja na yeye, wanataka kuepukana na yeye. Hivyo ni kwa kuwa hawakijui cheo chake kwa Mwenyezi Mungu |