Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 61 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالُواْ سَنُرَٰوِدُ عَنۡهُ أَبَاهُ وَإِنَّا لَفَٰعِلُونَ ﴾ 
[يُوسُف: 61]
﴿قالوا سنراود عنه أباه وإنا لفاعلون﴾ [يُوسُف: 61]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema, «Tutafanya bidii yetu kumkinaisha baba yake atuachie, na hatutaacha kufanya hivyo.»  |