×

Wakasema: Wallahi! Mwenyezi Mungu amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa 12:91 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:91) ayat 91 in Swahili

12:91 Surah Yusuf ayat 91 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 91 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿قَالُواْ تَٱللَّهِ لَقَدۡ ءَاثَرَكَ ٱللَّهُ عَلَيۡنَا وَإِن كُنَّا لَخَٰطِـِٔينَ ﴾
[يُوسُف: 91]

Wakasema: Wallahi! Mwenyezi Mungu amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa wenye kukosa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا تالله لقد آثرك الله علينا وإن كنا لخاطئين, باللغة السواحيلية

﴿قالوا تالله لقد آثرك الله علينا وإن كنا لخاطئين﴾ [يُوسُف: 91]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakasema, «Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba Mwenyezi Mungu amekutukuza juu yetu na Amekufanya bora kwa elimu, upole na utukufu, ingawa sisi ni wakosa kwa yale tuliyokufanyia wewe na ndugu yako kwa kukusudia.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek