×

Akasema: Leo hapana lawama juu yenu. Mwenyezi Mungu atakusameheni, naye ni Mwingi 12:92 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:92) ayat 92 in Swahili

12:92 Surah Yusuf ayat 92 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 92 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿قَالَ لَا تَثۡرِيبَ عَلَيۡكُمُ ٱلۡيَوۡمَۖ يَغۡفِرُ ٱللَّهُ لَكُمۡۖ وَهُوَ أَرۡحَمُ ٱلرَّٰحِمِينَ ﴾
[يُوسُف: 92]

Akasema: Leo hapana lawama juu yenu. Mwenyezi Mungu atakusameheni, naye ni Mwingi wa kurehemu kuliko wote wanao rehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال لا تثريب عليكم اليوم يغفر الله لكم وهو أرحم الراحمين, باللغة السواحيلية

﴿قال لا تثريب عليكم اليوم يغفر الله لكم وهو أرحم الراحمين﴾ [يُوسُف: 92]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yūsuf akawaamia, «Hamlaumiwi leo; Mwenyezi Mungu Atawasamehe. Na Yeye ni Mwenye huruma zaidi ya wenye huruma kwa anayetubia dhambi zake na akarejea kwenye utiifu Kwake.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek