Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 52 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَلَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَلَهُ ٱلدِّينُ وَاصِبًاۚ أَفَغَيۡرَ ٱللَّهِ تَتَّقُونَ ﴾
[النَّحل: 52]
﴿وله ما في السموات والأرض وله الدين واصبا أفغير الله تتقون﴾ [النَّحل: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni vya Mwenyezi Mungu, Peke Yake, vyote vilivyoko mbinguni na ardhini, kwa kuviumba, kuvimiliki na kuviendesha. Na ibada inaelekezwa Kwake PekeYake, na pia kutiiwa na kutakaswa daima. Basi je, inafaa kwenu nyinyi mumuogope asiyekuwa Yeye na mumuabudu |