Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 17 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَكَمۡ أَهۡلَكۡنَا مِنَ ٱلۡقُرُونِ مِنۢ بَعۡدِ نُوحٖۗ وَكَفَىٰ بِرَبِّكَ بِذُنُوبِ عِبَادِهِۦ خَبِيرَۢا بَصِيرٗا ﴾
[الإسرَاء: 17]
﴿وكم أهلكنا من القرون من بعد نوح وكفى بربك بذنوب عباده خبيرا﴾ [الإسرَاء: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni wengi tuliowaangamiza miongoni mwa watu waliokanusha Mitume wao baada ya Nabii wa Mwenyezi Mungu, Nūḥ. Na inatosha kwamba Mola wako, ewe Mtume, ni Mjuzi wa matendo yote ya waja Wake, hakifichamani Kwake chochote chenye kufichamana |