Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 100 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَهُمۡ فِيهَا لَا يَسۡمَعُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 100]
﴿لهم فيها زفير وهم فيها لا يسمعون﴾ [الأنبيَاء: 100]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawa wenye kuadhibiwa Motoni wataona uchungu unaooneshwa na mlio wa sauti zao ambapo pumzi zao zinatoka kwa nguvu sana kutoka kwenye vifua vyao. Na wao wakiwa Motoni hawasikii kwa ukali wa adhabu wanayopewa |