Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 74 - الحج - Page - Juz 17
﴿مَا قَدَرُواْ ٱللَّهَ حَقَّ قَدۡرِهِۦٓۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ ﴾
[الحج: 74]
﴿ما قدروا الله حق قدره إن الله لقوي عزيز﴾ [الحج: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawa washirikina hawakumtukuza Mwenyezi Mungu vile Anavyostahiki kutukuzwa, kwa kuwa wao wamemfanya kuwa Ana washirika, na hali Yeye Ndiye Mwenye nguvu Aliyeumba kila kitu, Ndiye Mshindi Asiyeshindwa |