Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 76 - الحج - Page - Juz 17
﴿يَعۡلَمُ مَا بَيۡنَ أَيۡدِيهِمۡ وَمَا خَلۡفَهُمۡۚ وَإِلَى ٱللَّهِ تُرۡجَعُ ٱلۡأُمُورُ ﴾
[الحج: 76]
﴿يعلم ما بين أيديهم وما خلفهم وإلى الله ترجع الأمور﴾ [الحج: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anayajua yaliyo mbele ya Malaika wake na Mitume Wake kabla hajawaumba, na Anayajua yenye kuwa baada ya kutoweka kwao. Na kwa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, yanarejea mambo yote |