Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 106 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَالُواْ رَبَّنَا غَلَبَتۡ عَلَيۡنَا شِقۡوَتُنَا وَكُنَّا قَوۡمٗا ضَآلِّينَ ﴾
[المؤمنُون: 106]
﴿قالوا ربنا غلبت علينا شقوتنا وكنا قوما ضالين﴾ [المؤمنُون: 106]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakikubali kuwa Mitume wao waliwapelekea ujumbe na wakawaonya, watasema Siku ya Kiyama, «Mola wetu! Raha zetu, na pia matamanio yetu yalikadiriwa kwetu kwenye ujuzi wako uliotangulia, zilitutawala na kwa hivyo tukawa, katika matendo yetu, ni wenye kupotea na kuwa kando ya njia ya uongofu |