Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 114 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَٰلَ إِن لَّبِثۡتُمۡ إِلَّا قَلِيلٗاۖ لَّوۡ أَنَّكُمۡ كُنتُمۡ تَعۡلَمُونَ ﴾
[المؤمنُون: 114]
﴿قال إن لبثتم إلا قليلا لو أنكم كنتم تعلمون﴾ [المؤمنُون: 114]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Atawaambia «Hamkuketi isipokuwa kipindi kichache, na lau mlivumilia juu ya kumtii Mwenyezi Mungu mungalifaulu kuipata Pepo, kama mungalikuwa na ujuzi wa hilo.» Hivyo ni kwamba kipindi cha kukaa kwao duniani ni kichache sana kulingana na kipindi cha kukaa kwao Motoni milele |