×

Si vibaya kwenu kuingia nyumba zisio kaliwa ambazo ndani yake yamo manufaa 24:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nur ⮕ (24:29) ayat 29 in Swahili

24:29 Surah An-Nur ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 29 - النور - Page - Juz 18

﴿لَّيۡسَ عَلَيۡكُمۡ جُنَاحٌ أَن تَدۡخُلُواْ بُيُوتًا غَيۡرَ مَسۡكُونَةٖ فِيهَا مَتَٰعٞ لَّكُمۡۚ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تُبۡدُونَ وَمَا تَكۡتُمُونَ ﴾
[النور: 29]

Si vibaya kwenu kuingia nyumba zisio kaliwa ambazo ndani yake yamo manufaa yenu. Na Mwenyezi Mungu anajua mnayo yadhihirisha na mnayo yaficha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ليس عليكم جناح أن تدخلوا بيوتا غير مسكونة فيها متاع لكم والله, باللغة السواحيلية

﴿ليس عليكم جناح أن تدخلوا بيوتا غير مسكونة فيها متاع لكم والله﴾ [النور: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lakini hapana ubaya kwenu kuiingia , bila ya kubisha hodi, nyumba ambazo hazikuwekwa kuwa ni makazi ya watu maalumu wajulikanao isipokuwa ziwe ni maliwazo kwa wenye kuzihitajia, kama nyumba zilizowekwa kuwa ni sadaka kwa mpita njia kwenye njia ya wasafiri na zisokuwa hizo katika huduma. Basi ndani ya nyumba hizo muna manufaa na mahitaji ya wenye kuyaingia, kwani kubisha kwenye hali hiyo ni usumbufu. Na Mwenyezi Mungu Anazijua hali zenu zilizo waziwazi na za zilizofichika
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek