Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 15 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ كـَلَّاۖ فَٱذۡهَبَا بِـَٔايَٰتِنَآۖ إِنَّا مَعَكُم مُّسۡتَمِعُونَ ﴾
[الشعراء: 15]
﴿قال كلا فاذهبا بآياتنا إنا معكم مستمعون﴾ [الشعراء: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akamwambia Mūsā, «Sivyo hivyo! Hawatakuua. Na nimekubali matakwa yako juu ya Hārūn. Basi endeni mkiwa na miujiza yenye kuonyesha ukweli wenu. Sisi tuko pamoja na nyinyi kwa ujuzi, utunzi na usaidizi tunasikiliza |