Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 30 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ أَوَلَوۡ جِئۡتُكَ بِشَيۡءٖ مُّبِينٖ ﴾
[الشعراء: 30]
﴿قال أو لو جئتك بشيء مبين﴾ [الشعراء: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Je, utanifanya mimi ni miongoni mwa wafungwa jela, hata nikikuletea hoja ya kukata ambayo kwa hiyo utabainika ukweli wangu?» |