Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 13 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿فَلَمَّا جَآءَتۡهُمۡ ءَايَٰتُنَا مُبۡصِرَةٗ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ مُّبِينٞ ﴾
[النَّمل: 13]
﴿فلما جاءتهم آياتنا مبصرة قالوا هذا سحر مبين﴾ [النَّمل: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Miujiza hii ilipowajia, hali ya kuwa imefunuka wazi, inamfanya mwenye kuitazama auone uhakika wa yale inayoyatolea ushahidi, walisema, «Huu ni uchawi uliofunuka waziwazi.» |