Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 90 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَمَن جَآءَ بِٱلسَّيِّئَةِ فَكُبَّتۡ وُجُوهُهُمۡ فِي ٱلنَّارِ هَلۡ تُجۡزَوۡنَ إِلَّا مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ﴾
[النَّمل: 90]
﴿ومن جاء بالسيئة فكبت وجوههم في النار هل تجزون إلا ما كنتم﴾ [النَّمل: 90]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mwenye kuja na ushirikina na matendo mabaya yanayochukiza, basi malipo yao ni awatupe Motoni Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama. Na wataambiwa kwa kulaumiwa, «Je, mtalipwa isipokuwa kile mliokuwa mkikifanya duniani?» |