Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 56 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿إِنَّكَ لَا تَهۡدِي مَنۡ أَحۡبَبۡتَ وَلَٰكِنَّ ٱللَّهَ يَهۡدِي مَن يَشَآءُۚ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِٱلۡمُهۡتَدِينَ ﴾
[القَصَص: 56]
﴿إنك لا تهدي من أحببت ولكن الله يهدي من يشاء وهو أعلم﴾ [القَصَص: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wewe, ewe Mtume, humuongoi, uongofu wa kumuafikia, unayependa aongoke. Lakini hilo liko kwenye mkono wa Mwenyezi Mungu, Anamuongoa Anayemtaka kumuongoa kwenye Imani na kumuafikia aifuate. Na Yeye Ndiye Anayemjua zaidi anayefaa kuongoka, hivyo basi Anamuongoa |