Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 54 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿يَسۡتَعۡجِلُونَكَ بِٱلۡعَذَابِ وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمُحِيطَةُۢ بِٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 54]
﴿يستعجلونك بالعذاب وإن جهنم لمحيطة بالكافرين﴾ [العَنكبُوت: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanakuharakisha uwaletee adhabu ulimwenguni, na hali hiyo ni yenye kuwajia hapana budi, ima hapa ulimwenguni au huko Akhera. Na kwa hakika adhabu ya Jahanamu huko Akhera ni yenye kuwazunguka, hawana makimbilio nayo |