Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 43 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿يَٰمَرۡيَمُ ٱقۡنُتِي لِرَبِّكِ وَٱسۡجُدِي وَٱرۡكَعِي مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ ﴾
[آل عِمران: 43]
﴿يامريم اقنتي لربك واسجدي واركعي مع الراكعين﴾ [آل عِمران: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe Maryam, Endelea daima kumtii Mola wako, simama kwa utulivu na unyenyekevu na usujudu na urukuu pamoja na wenye kurukuu kwa kumshukuru Mola wako juu ya neema Alizokutunukia.» |