Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 26 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَلَهُۥ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ كُلّٞ لَّهُۥ قَٰنِتُونَ ﴾
[الرُّوم: 26]
﴿وله من في السموات والأرض كل له قانتون﴾ [الرُّوم: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni wa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, wote waliyoko mbinguni na ardhini, miongoni mwa Malaika, binadamu, majini, wanyama, mimea na visivyo na uhai, wote hao wanafuata amri Yake wanaunyenyekea ukamilifu Wake |