Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 49 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَإِن كَانُواْ مِن قَبۡلِ أَن يُنَزَّلَ عَلَيۡهِم مِّن قَبۡلِهِۦ لَمُبۡلِسِينَ ﴾
[الرُّوم: 49]
﴿وإن كانوا من قبل أن ينـزل عليهم من قبله لمبلسين﴾ [الرُّوم: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ingawa wao kabla ya kuteremka mvua walikuwa katika hali ya kukata tamaa na kutokuwa na matumaini kwa sababu ya kutonyeshewa na mvua |