Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 10 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿۞ وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا دَاوُۥدَ مِنَّا فَضۡلٗاۖ يَٰجِبَالُ أَوِّبِي مَعَهُۥ وَٱلطَّيۡرَۖ وَأَلَنَّا لَهُ ٱلۡحَدِيدَ ﴾
[سَبإ: 10]
﴿ولقد آتينا داود منا فضلا ياجبال أوبي معه والطير وألنا له الحديد﴾ [سَبإ: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika tulimpa Dāwūd unabii, Kitabu na ujuzi, na tukayaambia majabali na ndege, «Takaseni pamoja naye!» (Dāwūd anapomtakasa Mwenyezi Mungu kwa kuleta tasbihi, fanyeni hivyo pamoja naye). Na tulimlainishia chuma kikawa ni kama unga uliokandwa, anakisinyanga anavyotaka |