Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 53 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَقَدۡ كَفَرُواْ بِهِۦ مِن قَبۡلُۖ وَيَقۡذِفُونَ بِٱلۡغَيۡبِ مِن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ ﴾
[سَبإ: 53]
﴿وقد كفروا به من قبل ويقذفون بالغيب من مكان بعيد﴾ [سَبإ: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika waliikanusha haki duniani na wakawakanusha Mitume. Na wanajisemea kwa kudhani wakiwa mbali na kuifikia haki, hawana tegemezi la dhana yao ya ubatilifu, kwa hivyo hawana njia ya kuifikia haki kama vile mfumaji asivyo na njia ya kulenga shabaha kutoka mahali mbali |