Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 10 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿وَسَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[يسٓ: 10]
﴿وسواء عليهم أأنذرتهم أم لم تنذرهم لا يؤمنون﴾ [يسٓ: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kunalingana sawa, mbele ya makafiri hawa washindani, kuwa utawaonya, ewe Mtume, au hutawaonya, kwani wao hawaamini wala hawafanyi matendo mema |