Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 103 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَلَمَّآ أَسۡلَمَا وَتَلَّهُۥ لِلۡجَبِينِ ﴾
[الصَّافَات: 103]
﴿فلما أسلما وتله للجبين﴾ [الصَّافَات: 103]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walipojisalimisha wao wawili kwa kuifuata amri ya Mwenyezi Mungu na kuiandama, na Ibrāhīm akambwaga Ismā'īl chini, kwa upande wa paji la uso, ili kumchinja |