Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 19 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَإِنَّمَا هِيَ زَجۡرَةٞ وَٰحِدَةٞ فَإِذَا هُمۡ يَنظُرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 19]
﴿فإنما هي زجرة واحدة فإذا هم ينظرون﴾ [الصَّافَات: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ni kwamba huo utakuwa ni Mvuvio mmoja, wakitahamaki wao wamesimama kutoka makaburini mwao, wanatazama vituko vya Kiyama |