Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 28 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ كُنتُمۡ تَأۡتُونَنَا عَنِ ٱلۡيَمِينِ ﴾
[الصَّافَات: 28]
﴿قالوا إنكم كنتم تأتوننا عن اليمين﴾ [الصَّافَات: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wafuasi watasema kuwaambia wafuatwa, «Nyinyi mlikuwa mkitujia kwa upande wa dini na haki, mkiifanya Sheria ni twevu kwetu, mkitutia chuki nayo na mkitupambia upotevu.» |