Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 29 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالُواْ بَل لَّمۡ تَكُونُواْ مُؤۡمِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 29]
﴿قالوا بل لم تكونوا مؤمنين﴾ [الصَّافَات: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo watasema wafuatwa kuwaabia wafuasi, «Mambo si kama vile mnavyodai, bali ni nyoyo zenu zilikuwa zimekataa kuamini, zimeuelekea ukafiri na uasi |