×

Basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini 37:98 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:98) ayat 98 in Swahili

37:98 Surah As-saffat ayat 98 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 98 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿فَأَرَادُواْ بِهِۦ كَيۡدٗا فَجَعَلۡنَٰهُمُ ٱلۡأَسۡفَلِينَ ﴾
[الصَّافَات: 98]

Basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأرادوا به كيدا فجعلناهم الأسفلين, باللغة السواحيلية

﴿فأرادوا به كيدا فجعلناهم الأسفلين﴾ [الصَّافَات: 98]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Watu wa Ibrāhīm wakataka kumfanyia vitimbi ili wamuangamize, tukawafanya wao kuwa ndio wenye kutendeshwa nguvu na kushindwa. Mwenyezi Mungu Akavirudisha vitimbi vyao kwenye shingo zao na akaufanya ule moto uwe baridi na salama kwa Ibrāhīm
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek