Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 99 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَقَالَ إِنِّي ذَاهِبٌ إِلَىٰ رَبِّي سَيَهۡدِينِ ﴾
[الصَّافَات: 99]
﴿وقال إني ذاهب إلى ربي سيهدين﴾ [الصَّافَات: 99]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema Ibrāhīm, «Mimi nahamia kwa Mola wangu kutoka kwenye mji wa watu wangu kuelekea pale ambapo nitamakinika kumuabudu Mola wangu, kwani Yeye Atanielekeza kwenye kheri ya Dini yangu na dunia yangu |