Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 82 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ فَبِعِزَّتِكَ لَأُغۡوِيَنَّهُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[صٓ: 82]
﴿قال فبعزتك لأغوينهم أجمعين﴾ [صٓ: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema, «Naapa kwa enzi yako, ewe Mola wangu, na utukufu wako! Nitawapoteza binadamu wote |