Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 85 - صٓ - Page - Juz 23
﴿لَأَمۡلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنكَ وَمِمَّن تَبِعَكَ مِنۡهُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[صٓ: 85]
﴿لأملأن جهنم منك وممن تبعك منهم أجمعين﴾ [صٓ: 85]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nitaujaza moto wa Jahanamu ukukusanye wewe na kizazi chako na wale wote wenye kukufuata miongoni mwa wanadamu.» |