Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 50 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿قَدۡ قَالَهَا ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِهِمۡ فَمَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ﴾
[الزُّمَر: 50]
﴿قد قالها الذين من قبلهم فما أغنى عنهم ما كانوا يكسبون﴾ [الزُّمَر: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kauli kama hii ilisemwa na ummah waliopita wenye kukanusha, na yasiwafalie kitu, ilipowajia adhabu, yale mali ambayo walikuwa wakiyachuma na watoto |