Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 58 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿أَوۡ تَقُولَ حِينَ تَرَى ٱلۡعَذَابَ لَوۡ أَنَّ لِي كَرَّةٗ فَأَكُونَ مِنَ ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الزُّمَر: 58]
﴿أو تقول حين ترى العذاب لو أن لي كرة فأكون من المحسنين﴾ [الزُّمَر: 58]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Au ikasema, itakapo kuiona adhabu ya Mwenyezi Mungu imeizunguka Siku ya Kiyama, ‘Natamani nipatiwe nafasi ya kurudi kwenye maisha ya kilimwengu nikawa huko ni miongoni mwa wenye kufanya wema kwa kumtii Mola wao na kufanya matendo yaliyoamrishwa na Mitume.’» |