×

Na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika 4:112 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:112) ayat 112 in Swahili

4:112 Surah An-Nisa’ ayat 112 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 112 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿وَمَن يَكۡسِبۡ خَطِيٓـَٔةً أَوۡ إِثۡمٗا ثُمَّ يَرۡمِ بِهِۦ بَرِيٓـٔٗا فَقَدِ ٱحۡتَمَلَ بُهۡتَٰنٗا وَإِثۡمٗا مُّبِينٗا ﴾
[النِّسَاء: 112]

Na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن يكسب خطيئة أو إثما ثم يرم به بريئا فقد احتمل بهتانا, باللغة السواحيلية

﴿ومن يكسب خطيئة أو إثما ثم يرم به بريئا فقد احتمل بهتانا﴾ [النِّسَاء: 112]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mwenye kufanya kosa bila kukusudia au akatenda dhambi kwa kusudia kisha akamsingizia, yale aliyoyafanya, mtu asiye na hatia, atakuwa amebeba urongo na dhambi zilizo wazi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek