Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 32 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَيَٰقَوۡمِ إِنِّيٓ أَخَافُ عَلَيۡكُمۡ يَوۡمَ ٱلتَّنَادِ ﴾
[غَافِر: 32]
﴿وياقوم إني أخاف عليكم يوم التناد﴾ [غَافِر: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na enyi watu wangu! Mimi ninawachelea nyinyi adhabu ya Siku ya Kiyama. Siku ambyo wataitana watu wao kwa wao kwa kituko cha Kisimamo Siku hiyo |