Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 33 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿يَوۡمَ تُوَلُّونَ مُدۡبِرِينَ مَا لَكُم مِّنَ ٱللَّهِ مِنۡ عَاصِمٖۗ وَمَن يُضۡلِلِ ٱللَّهُ فَمَا لَهُۥ مِنۡ هَادٖ ﴾
[غَافِر: 33]
﴿يوم تولون مدبرين ما لكم من الله من عاصم ومن يضلل الله﴾ [غَافِر: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Siku ambayo mtazunguka muende hali ya kukimbia, hamtakuwa na mwenye kuwahami wala kuwanusuru. Na yoyote yule ambaye Mwenyezi Mungu Atamuachilia Asimuafikie kuufikia uongofu Wake, basi yeye hatakuwa na mtu mwenye kumuongoza kwenye haki na usawa |