×

Enyi watu wangu! Hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, 40:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ghafir ⮕ (40:39) ayat 39 in Swahili

40:39 Surah Ghafir ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 39 - غَافِر - Page - Juz 24

﴿يَٰقَوۡمِ إِنَّمَا هَٰذِهِ ٱلۡحَيَوٰةُ ٱلدُّنۡيَا مَتَٰعٞ وَإِنَّ ٱلۡأٓخِرَةَ هِيَ دَارُ ٱلۡقَرَارِ ﴾
[غَافِر: 39]

Enyi watu wangu! Hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na hakika Akhera ndiyo nyumba ya daima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياقوم إنما هذه الحياة الدنيا متاع وإن الآخرة هي دار القرار, باللغة السواحيلية

﴿ياقوم إنما هذه الحياة الدنيا متاع وإن الآخرة هي دار القرار﴾ [غَافِر: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Enyi watu wangu! Hakika ya uhai huu wa kilimwengu ni uhai wa watu kustarehe kidogo, kisha unakatika na kuondoka, basi inatakikana msiutegemee na kwamba Nyumba ya Akhera na starehe za daima zilizomo ndani ndiyo mahali pa makazi ya nyinyi kutulia humo, basi inatakikana muipe kipaumbele na mtende kwa ajili yake matendo mema ambayo yatawapatia furaha huko
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek