×

Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu na Mwenye hikima anavyo kuletea Wahyi 42:3 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:3) ayat 3 in Swahili

42:3 Surah Ash-Shura ayat 3 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 3 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿كَذَٰلِكَ يُوحِيٓ إِلَيۡكَ وَإِلَى ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِكَ ٱللَّهُ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[الشُّوري: 3]

Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu na Mwenye hikima anavyo kuletea Wahyi wewe na walio kabla yako

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كذلك يوحي إليك وإلى الذين من قبلك الله العزيز الحكيم, باللغة السواحيلية

﴿كذلك يوحي إليك وإلى الذين من قبلك الله العزيز الحكيم﴾ [الشُّوري: 3]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kama Alivyokuteremshia Mwenyezi Mungu, ewe Nabii, hii Qur’ani, Aliteremsha Vitabu na Kurasa kwa Manabii kabla yako. Na Yeye Ndiye Mshindi katika kutesa Kwake, Ndiye Mwenye hekima katika maneno Yake na vitendo Vyake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek