×

Bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika 42:42 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:42) ayat 42 in Swahili

42:42 Surah Ash-Shura ayat 42 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 42 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿إِنَّمَا ٱلسَّبِيلُ عَلَى ٱلَّذِينَ يَظۡلِمُونَ ٱلنَّاسَ وَيَبۡغُونَ فِي ٱلۡأَرۡضِ بِغَيۡرِ ٱلۡحَقِّۚ أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ ﴾
[الشُّوري: 42]

Bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika nchi bila ya haki. Hao watapata adhabu iliyo chungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنما السبيل على الذين يظلمون الناس ويبغون في الأرض بغير الحق أولئك, باللغة السواحيلية

﴿إنما السبيل على الذين يظلمون الناس ويبغون في الأرض بغير الحق أولئك﴾ [الشُّوري: 42]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika ni kwamba mapatilizo ni ya wale wanaowaonea watu kwa udhalimu na uadui, wakapita mpaka waliowekewa wa vitu walivyohalalishiwa na Mola wao na wakaingia kwenye eneo la vitu visivyoruhusiwa kwao, wakafanya uharibifu katika ardhi pasi na haki, basi hao Siku ya Kiyama watakuwa na adhabu yenye uchungu na kuumiza
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek