×

Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa 42:43 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:43) ayat 43 in Swahili

42:43 Surah Ash-Shura ayat 43 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 43 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنۡ عَزۡمِ ٱلۡأُمُورِ ﴾
[الشُّوري: 43]

Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولمن صبر وغفر إن ذلك لمن عزم الأمور, باللغة السواحيلية

﴿ولمن صبر وغفر إن ذلك لمن عزم الأمور﴾ [الشُّوري: 43]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na yoyote mwenye kuvumilia juu ya makero na akalipa, kwa ovu alilofanyiwa, kwa kusamehe, kufuta na kufinika, basi hayo ni miongoni mwa mambo makubwa yenye kushukuriwa na vitendo vyenye kusifiwa ambavyo Mwenyezi Mungu Ameviamrisha na Ameviwekea thawabu nyingi na sifa nzuri
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek