×

Njia ya Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye tu viliomo mbinguni na 42:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:53) ayat 53 in Swahili

42:53 Surah Ash-Shura ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 53 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿صِرَٰطِ ٱللَّهِ ٱلَّذِي لَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ أَلَآ إِلَى ٱللَّهِ تَصِيرُ ٱلۡأُمُورُ ﴾
[الشُّوري: 53]

Njia ya Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye tu viliomo mbinguni na katika ardhi. Jueni kuwa mambo yote yanarudi kwa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: صراط الله الذي له ما في السموات وما في الأرض ألا إلى, باللغة السواحيلية

﴿صراط الله الذي له ما في السموات وما في الأرض ألا إلى﴾ [الشُّوري: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
njia ya Mwenyezi Mungu Aliye na mamlaka ya vyote vilivyoko mbinguni na vilivyoko ardhini, hana mshirika katika hayo. Jua utanabahi kwamba kwa mwenyezi Mungu , enyi watu, yatarudi mambo yote yenu ya kheri na shari, na huko Amlipe kila mtu kwa matendo yake, yakiwa mema alipwe wema na yakiwa mabaya alipwe ubaya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek