×

Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu 43:67 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:67) ayat 67 in Swahili

43:67 Surah Az-Zukhruf ayat 67 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 67 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿ٱلۡأَخِلَّآءُ يَوۡمَئِذِۭ بَعۡضُهُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوٌّ إِلَّا ٱلۡمُتَّقِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 67]

Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الأخلاء يومئذ بعضهم لبعض عدو إلا المتقين, باللغة السواحيلية

﴿الأخلاء يومئذ بعضهم لبعض عدو إلا المتقين﴾ [الزُّخرُف: 67]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Marafiki katika kumuasi Mwenyezi Mungu duniani watatengana wao kwa wao Siku ya Kiyama. Lakini wale waliofanya urafiki juu ya uchaji Mwenyezi Mungu, urafiki wao utadumu duniani na Akhera
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek