Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 18 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿أَنۡ أَدُّوٓاْ إِلَيَّ عِبَادَ ٱللَّهِۖ إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ﴾
[الدُّخان: 18]
﴿أن أدوا إلي عباد الله إني لكم رسول أمين﴾ [الدُّخان: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mūsā aliwaambia, «Nisalimishieni waja wa Mwenyezi Mungu kati ya Wana wa Isrāīl, na muwaachilie pamoja na mimi, wapate kumuabudu Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Asiye na mshirika. Mimi, kwenu nyinyi, ni mjumbe muaminifu juu ya wahyi Wake na ujumbe Wake |